Mfumo wa kuandaa matokeo na ripoti za kitaaluma kwa shule kidato cha tano na sita sasa upo tayari. Kama ulivyo mfumo wa kuandalia ripoti kwa kidato cha I hadi IV pia mfumo huu unachakata matokeo ya aina nane kwa wakati mmoja ambayo ni ripoti ya kila mwanafunzi, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha madaraja tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama na madaraja, dondoo ya matokea ya jumla, Orodha ya wanafunzi waliofanya vizuri, Orodha ya wanafunzi waliofanya vibaya na ISAL kama inavyoonesha picha hapa chini Endelea Kupata Zaidi
Tuesday, 12 May 2020
MFUMO WA KUANDAA MATOKEO NA RIPOTI ZA TAALUMA (SARPS) A LEVEL
Mfumo wa kuandaa matokeo na ripoti za kitaaluma kwa shule kidato cha tano na sita sasa upo tayari. Kama ulivyo mfumo wa kuandalia ripoti kwa kidato cha I hadi IV pia mfumo huu unachakata matokeo ya aina nane kwa wakati mmoja ambayo ni ripoti ya kila mwanafunzi, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha madaraja tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama na madaraja, dondoo ya matokea ya jumla, Orodha ya wanafunzi waliofanya vizuri, Orodha ya wanafunzi waliofanya vibaya na ISAL kama inavyoonesha picha hapa chini Endelea Kupata Zaidi
Wednesday, 6 May 2020
Nguzo za swaumu
Nguzo za swaumu
NGUZO YA KWANZA: Ni kujizuia kufanya mambo yatakayo Haribu swaumu
kuanzia kutokeza kwa alfajiri hadi kuzama kwa jua kwa kuingia jioni
Dalili ni kauli yake Mwenyezi Mungu U: {…Na kuleni na kunyweni mpaka ubainike kwenu weupe wa
alfajiri katika weusi wa usiku. Kisha timizeni saumu mpaka usiku…} (Al-Baqarah- Aya 187).
NGUZO YA PILI: Ni kutia nia ya Kufunga
Nako ni kukusudia kwa anayefunga saumu ya kwamba huku kujizuia
na vitu vinavyofungua saumu ni ibada kwa ajili ya Mwenyezi Mungu Mtukufu; kwa
dalili ya kauli ya Mtume (saw): (
Hakika kila jambo analolifanya (mwanadamu) ni kulingamana na nia yake, na
hakika kila mtu atalipwa kulingana na alivyonuilia)[Imepokewa na Bukhari na Muslim.] Endelea Kupata Zaidi
Friday, 24 April 2020
Fadhila za swaumu
Swaumu ni Nini?
Saumu Katika Lugha
Ni kujizuia na kujiepusha kufanya jambo fulani.
Saumu Kisheria
Ni kufanya ibada kwa ajili ya Mwenyezi Mungu U kwa kujizuia kula, kunywa na kufanya tendo la ndoa kuanzia kutokeza kwa alfajiri hadi kutwa kwa Jua. Endelea Kupata Zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)