SARPS - O LEVEL

Mfumo wa kuandaa matokeo na ripoti za kitaaluma kwa shule kidato cha  I hadi IV unachakata matokeo ya aina tisa (9) kwa wakati mmoja ambayo ni ripoti ya kila mwanafunzi, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha madaraja tu, mkeka wa matokeo ya wanafunzi unaonesha alama na madaraja, dondoo ya matokea ya jumla, Orodha ya wanafunzi waliofanya vizuri, Orodha ya wanafunzi waliofanya vibaya, Mkeka Unaosha wanafunzi waliofanya vizuri na vibaya katika Taasusi  na ISAL kama inavyoonesha picha hapa chini.

1. RIPOTI YA KILA MWANAFUNZI

2. MKEKA UNAOONESHA MADARAJA TU

3. MKEKA UNAOONESHA ALAMA TU

4. MKEKA UNAOONESHA ALAMA NA MADARAJA

5. MUKHUTASARI WA UFAULU WA KILA SOMO

6. ORODHA YA WANAFUNZI WALIFANYA VIZURI

7. ORODHA YA WANAFUNZI WALIFANYA VIBAYA

8. MKEKA WA COMBINATIONS

9. ISAL NA SCORE SHEET

Mfumo unamwezesha mwalimu kutuma ripoti kwa wazazi/walezi kwa njia ya SMS kwa kutumia software ya DRPU Bulk SmS bila mtandao (internet).
Kwa maelekezo na msaada zaidi  namna ya kutumia mfumo au kupata software ya DRPU Bulk SmS piga +255712824390 au +255625864256



Kwa Mahitaji ya Mfumo mzima wenye uwezo wa kutoa ripoti zaidi ya 50 Kuligana na Idadi ya wanafunzi wako 
Gharama zake ni nafuu sana, itategemea idadi ya wanafunzi unayohitaji katika mfumo (System Capacity, SC100, SC200, SC300, SC400, SC500, n.k). Tuma maombi kwa kujaza fomu yetu inayopatikana katika kiungo "TUMA MAOMBI YAKO HAPA" au ORDER NOW ili uweze kupata Mfumo huu


    SARPS
    PRIMARY
    SARPS
    A - LEVEL