GHARAMA ZA SARPS

GHARAMA ZA MFUMO WA KUANDALIA RIPOTI ZA WANAFUNZI (SARPS)

Gharama za Mfumo wa kuandaa ripoti za wanafunzi mashuleni unategemea mambo matatu yafuatayo;
  • Aina ya mfumo yaani mfumo wa shule za msingi ambao hauna matoleo mawili na Mfumo wa sekondari ambao una matoleo mawili
  • Toleo la mfumo (Hii ni Mifumo ya Sekondari tu)
  • Idadi ya ripoti zinazoweza kutolewa na Mfumo (System Capacity).Mfumo unaweza kutoa ripoti za wanafunzi 100, 200, 300, 400, 500, 600 na 800 kwa kutumia SC100, SC200, SC300, SC400, SC500, SC600 na SC800.
Gharama zake ni nafuu sana kama inavyoonesha katika jedwali hapa chini.

Mfumo wa shule za Msingi (Toleo Jipya)
 UWEZO GHARAMA
SC100
30,000/=
SC200
50,000/=
SC300
80,000/=
SC400
90,000/=
SC500
100,000/=
SC600
110,000/=
SC800
130,000/=
SC1000
150,000/=


Mfumo wa shule za Sekondari (O - Level na A - Level)
UWEZOGHARAMA ZA MFUMO
Toleo la Kwanza
Toleo Jipya
SC100
30,000/=
50,000/=
SC200
50,000/=
80,000/=
SC300
80,000/=
110,000/=
SC400
90,000/=
130,000/=
SC500
100,000/=
150,000/=
SC600
110,000/=
160,000/=
SC800
130,000/=
170,000/=
SC1000
150,000/=
200,000/=


Gharama hizi haziusishi gharama ya software ya DRPU inayotumika kutuma SMS kwa wazazi. Kwa Mahitaji ya Mifumo hii jisajili kwa kujaza fomu yetu inayopatikana katika kiungo "JISAJILI" au REGISTER ili uweze kuipata Mifumo hii