الحديث الحادي عشر
" دع ما يريبك إلى ما لا يريبك"
عَنْ أَبي مُحمَّدٍ الحسَنِ بْنِ عليّ بْنِ أبي طَالِب، سِبْطِ
رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم وَرَيْحَانَتِهِ رضيَ اللهُ عنهُما، قالَ:
حَفِظْتُ مِنْ رَسُولِ الله صلى الله عليه وسلم: ((دَعْ ما يَرِيبُكَ إلى مَا لاَ
يَرِيُبكَ ))
رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ وَالنَّسَائِيُّ وَقَالَ التِّرْمِذِيُّ: حَدِيثٌ
حَسَنٌ صَحِيحٌ.
HADITHI YA 11
WACHA KILE KINACHOKUTIA SHAKA UFUATE KILE
KISICHOKUTIA SHAKA
Kutoka kwa Abu Muhammad
Al-Hasan Ibn ‘Ali Ibn Abi Twaalib mjukuu wa Mtume صلى الله عليه وسلم na kipenzi chake رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا alisema :
Nilihifadhi kutoka kwa
Mtume صلى الله عليه وسلم maneno haya: “Wacha kile kinachokutia shaka
ufuate kile kisichokutia shaka”.
Imesimuliwa na
At-Tirmidhi na An-Nasai, At-Tirmidhi akisema kuwa ni hadithi Hasan na Sahihi.