Hadiyth Ya 41 Pepo Na Moto Vilishindana



عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ:  ((احْتَجَّتْ الْجَنَّةُ وَالنَّارُ فَقَالَتْ النَّارُ فِيَّ الْجَبَّارُونَ وَالْمُتَكَبِّرُونَ وَقَالَتْ الْجَنَّةُ فِيَّ ضُعَفَاءُ النَّاسِ وَمَسَاكِينُهُمْ. قَالَ: فَقَضَى بَيْنَهُمَا: إِنَّكِ الْجَنَّةُ رَحْمَتِي أَرْحَمُ بِكِ مَنْ أَشَاءُ وَإِنَّكِ النَّارُ عَذَابِي أُعَذِّبُ بِكِ مَنْ أَشَاءُ وَلِكِلَاكُمَا عَلَيَّ مِلْؤُهَا)) البخاري, مسلم و الترمذي



Kutoka kwa Abu Sa’iyd Al-Khudriyy ambaye amesema Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Pepo na moto vilishindana, moto ulisema: Ndani yangu wamo wenye nguvu na wenye kibri. Pepo ikasema: Ndani yangu wamo watu dhaifu na maskini. Akasema: Allaah Akahukumu baina yao: (Akasema): Wewe Pepo ni Rahma (huruma) Zangu, kupitia kwako wewe Humrehemu Nimtakaye. Nawe moto ni adhabu Yangu, kupitia kwako wewe ninawaadhibu wale niwatakao na kila mmoja katika nyinyi mtajaa)) [Al-Bukhaariy, Muslim na At-Tirmidhiy