Hadiyth Ya 3 Allaah Atanyakua Ardhi Na Atakunja mbingu Katika mkono Wake Wa kulia



Hadiyth Ya 3

Allaah Atanyakua Ardhi Na Atakunja mbingu Katika mkono Wake Wa kulia



عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((يَقْبِضُ اللَّهُ الْأَرْضَ وَيَطْوِي السَّمَاءَ بِيَمِينِهِ ثُمَّ يَقُولُ أَنَا الْمَلِكُ أَيْنَ مُلُوكُ الْأَرْضِ)) البخاري و مسلم

Kutoka kwa Abu Hurayrah رضي الله عنه   kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Allaah Atainyakua dunia yote na atazikunja mbingu kwa kwa Mkono Wake wa kulia. Kisha atasema: Mimi Ndiye Mfalme. Wako wapi wafalme wa ardhi?)) [Al-Bukhaariy na Muslim]