الحديث
الثاني والثلاثون
"لا ضرر ولا
ضرار"
عَنْ أَبىِ سَعيدٍ سَعْدِ
بْن مَالكِ بْن سِنَانٍ الْخُدريِّ رضي
الله عنه
أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ :(( لاَ
ضَرَرَ وَلاَ ضِرَارَ ))
حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ
ابْنُ مَاجَهْوَالدَّارَقُطْنِيّ، وَغَيْرُهُمَا مُسْنَدًا. وَرَوَاهُ مَالِكٌفِي
"الْمُوَطَّإِ مُرْسَلاً عَنْ عَمْرِو بْنِ يَحْيَى عَنْ أَبِيهِ عَنْ
النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم مُرْسَلًا، فَأَسْقَطَ أَبَا سَعِيدٍ، وَلَهُ
طُرُقٌ يُقَوِّي بَعْضُهَا بَعْضًا.
HADITHI YA 32
KUSIWE NA KUDHURIANA WALA KULIPIZA DHARA
Kutoka kwa Abu
Sa'iid Sa'ad Ibn Malik Ibn Sinaan Al-Khudhri رضي الله عنه ambaye alisema kuwa Mtume صلى الله عليه وسلم kasema:
Kusiwe na kudhuriana
wala kulipa dhara.
Imesimuliwa na Ibn
Maajah, Daaraqutni na wengineo na ina kiwango cha 'Musnad'
Vile vile
imesimuliwa na Malik katika (kitabu) Al-Muwatta kama 'Mursal'
Inayo mtiririko wa
mapokezi kutoka kwa 'Amr Ibn Yahya, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Mtume صلى الله عليه وسلم hata ukimuacha Abu Sa'id bado inayo
mtiririko wa mapokezi unayoiunga mkono.