HADITHI YA 18 MCHE MWENYEEZI MUNGU POPOTE ULIPO

الحديث الثامن عشر
"اتق الله حيثما كنت"


 عن أبي ذَرٍّ جُنْدُب بِن جُنَادَة، وأبي عبد الرحمن مُعَاذ بِن جَبَلٍ رضي الله عنهما، عن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: ((اتَّقِ اللهَ حَيْثُما كنْتَ، وأَتْبِعِ السَّيئةَ الحسنةَ تَمْحُها، وخالقِ الناسَ بخُلُقٍ حسنٍ)).

رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ   وَقَالَ: حَدِيثٌ حَسَنٌ، وَفِي بَعْضِ النُّسَخِ: حَسَنٌ صَحِيحٌ.

HADITHI YA 18
MCHE MWENYEEZI MUNGU POPOTE ULIPO
Kutoka kwa Abu Dharr Jundub Ibn Junaada na Abu Abdur Rahmaan
Mu'adh Ibn Jabal رضي الله عنهما  ambao wamemnukuu Mtume صلى الله عليه وسلم akisema:
“Mche Allaah سبحانه وتعالى popote pale ulipo na fuatisha kitendo kibaya   kwa kitendo kizuri  kitafuta (kitendo kibaya) na ishi na watu kwa uzuri.”
Imesimuliwa na At-Tirmidhi na kasema kuwa ni hadithi Hasan na katika maandiko mengine imesemwa kuwa ni Hasan Sahihi