الحديث السابع والثلاثون
عَن
ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا عَنِ النبي صلى الله عليه وسلم فِيْمَا
يَرْوِيْهِ عَنْ رَبِّهِ تَبَارَكَ وَتَعَالى أَنَّهُ قَالَ:
(إِنَّ
الله كَتَبَ الحَسَنَاتِ وَالسَّيئَاتِ ثُمَّ بَيَّنَ ذَلِكَ؛ فَمَنْ هَمَّ بِحَسَنَةٍ
فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً،وَإِنْ هَمَّ
بِهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ عَشْرَ حَسَنَاتٍ إِلَى سَبْعِمائَةِ
ضِعْفٍ إِلىَ أَضْعَاف كَثِيْرَةٍ. وَإِنْ هَمَّ بِسَيِّئَةٍ فَلَمْ يَعْمَلْهَا
كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً،وَإِنْ هَمَّ بِهَا فَعَمِلَهَا
كَتَبَهَا اللهُ سَيِّئَةً وَاحِدَةً)
رَوَاهُ البُخَارِيُّ
وَمُسْلِمٌ في صَحِيْحَيْهِمَا بِهَذِهِ الحُرُوْفِ
HADITHI
YA 37
ALLAAH
KAVIANDIKA VITENDO VYEMA NA VIOVU
Kutoka kwa Ibn
‘Abbaas رضي
الله عنهما kapokea kutoka kwa
Mtume صلى الله عليه وسلم
amesema kutokana na yale aliyoyapokea kutoka kwa Mola wake Aliyetukuka, kwamba
Kasema: ((Hakika Allaah Ameviandika vitendo vyema na viovu, kasha
Akavibainisha. Basi atakayeazimia kufanya tendo jema kisha asiweze kulifanya,
basi Allaah Atamwandikia ujira wa tendo jema lililokamika. Na ikiwa aliazimia
kulifanya kisha akalifanya, basi Allaah Atamwandikia (Atamlipa) ujira mara kumi
hadi mara mia saba na zaidi ya idadi hiyo.
Na atakayeazimia
kufanya tendo ovu kisha asilifanye, Allaah Atamwandikia (Atamlipa) ujira mmoja,
na endapo atalifanya tendo
Imesimuliwa na
Al-Bukhaariy na Muslim kwa herufi hizi