HADITHI YA16 USIHAMAKI

الحديث السادس عشر
" لا تغضب"


عن أبي هُرَيْرَةَ رضي اللهُ عنه أنَّ رَجُلاً قال لِلنَّبِّي صلى الله عليه وسلم: أَوصِني، قالَ:
((لا تَغْضَبْ))، فَرَدَّدَ مِرَاراً، قال: ((لا تَغْضَبْ)).

رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ   
HADITHI YA16
USIHAMAKI
Kutoka kwa Abu Hurayra رضي الله عنه  ambaye amesema: 
Mtu alimwambia Mtume صلى الله عليه وسلم Niusie: “akamwambia “usihamaki, yule mtu akakariri tena (ombi lake) mara nyingi, na akamwambia (jizuie) usihamaki.”
Imesimuliwa na Al-Bukhari