الحديث الرابع عشر
" لا يحل دم امريء مسلم إلا بإحدى ثلاث"
عن
ابْنِ مَسْعُودٍ رضي اللهُ عنه قالَ: قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه
وسلم: ((لاَ يَحِلُّ دَمُ امْرِئٍ مُسْلِمٍ إلاّ بإحْدَى ثَلاَثٍ:
الثَّيِّبُ الزَّاني، وَالنَّفْسُ بالنّفْسِ، وَالتَّارِكُ لِدِيِنِهِ
الْمُفَارِقُ لِلْجَماعَةِ)).
رَوَاهُ الْبُخَارِيّ وَمُسْلِمٌ
HADITHI YA 14
DAMU YA MUISLAMU ISIMWAGWE ISIPOKUWA KWA SABABU TATU
Kutoka kwa Ibn Mas'udرضي الله عنه ambae alisema: Mtume صلى الله عليه وسلم kasema :
Damu
ya Muislamu haiwezi kwa haki kumwagwa isipokuwa katika hali tatu:
Mzinzi Muolewa (Mtu mzima aliyeoa/olewa), uhai kwa uhai (nafsi kwa
nafsi) na kwa yule anaewacha dini na akajifarikisha na jamaa
(kundi) (amejitenga na watu wa dini yake).
Imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim