الحديث
التاسع والثلاثون
"إن الله تجاوز لي
عن أمتي الخطأ والنسيان"
عَن
ابْنِ عَبَّاسِ رَضِيَ الله عَنْهُما: أن رَسُوَل اللهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ
: ((إنَّ الله تَجاوَزَ لِي عَنْ أُمَّتي: الْخَطَأَ، والنِّسْياَنَ، وَمَا
اسْتُكْرِهُوا عَلَيْهِ)).
حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ
ابْنُ مَاجَهْ وَالْبَيْهَقِيّ وَغيرهما
HADITHI YA 39
ALLAAH AMEWASAMEHE UMMA WAKE KUKOSEA NA
KUSAHAU KWA AJILI YAKE ( MTUME صلى الله عليه وسلم )
Kutoka kwa Ibn
‘Abbaas رضي الله عنهما ambaye
amesema kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم
kasema:
Allaah Amewasamehe
kwa ajili yangu umma wangu kwa kukosea, kusahau, na yale wanayoyafanya kwa
kulazimishwa kwa nguvu (ambayo hawana khiyari nayo).
Imesimuliwa na Ibn
Maajah na Al-Bayhaqi