الحديث الحادي والأربعون
"لا يؤمن أحدكم حتى
يكون هواه تبعا لما جئت به"
عَنْ أَبِي مُحَمَّدٍ
عَبْدِ اللَّهِ بِنْ عَمْرُو بِنْ العَاصِ رَضِيَ
اللَّهُ عَنْهُمَا
قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وآله وسلم :((لا يُؤْمِنُ
أَحَدُكُمْ حَتَّى يَكُونَ هَوَاهُ تَبَعَاً لِمَا جِئْتُ بِهِ ))
حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ، رَوَيْنَاهُ
فِي كِتَابِ "الْحُجَّةِ بِإِسْنَادٍ صَحِيحٍ.
HADITHI
YA 41
HATOAMINI
MMOJA WENU MPAKA MAPENZI YAKE YATAKAPOMILI (YATAKAPOENDANA) NA YALE NILIYOKUJA
NAYO
Kutoka kwa Abu Muhammad Abdullah Ibn 'Amr
Bin Al-'As رضي الله عنه ambae
alisema : Mtume صلى الله عليه وسلم kasema:
Hatokua kaamini (kikwelikweli) mmoja wenu mpaka
mapenzi yake yatakapomili (yatakapotii au kuwafikiana) kwenye yale niliyoyaleta
(mafundisho).
Hadithi Hasan iliyotoka katika kitabu
“Al-Hujjah” ikiwa na mtiriko mzuri wa mapokezi