HADITHI YA 20 IKIWA HUNA HAYA BASI FANYA UTAKAVYO

الحديث العشرون
"إذا لم تستح فاصنع ما شئت"

عن أبي مَسْعُودٍ عُقْبَةَ بن عمرو الأَنْصَارِيّ البَدْرِيّ رضي اللهُ عنه قال : قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: ((إِنَّ مما أَدْرَكَ النَّاسُ مِنْ كَلامِ النُّبُوَّةِ الأولَى: إِذا لمْ تَسْتَحِ فاصْنَعْ ما شِئْتَ)).
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ  

HADITHI YA 20
IKIWA HUNA HAYA BASI FANYA UTAKAVYO
Kutoka kwa Abu Mas'ud ‘Uqbah Ibn 'Amr Al Ansariy Al Badriy رضي الله عنه  ambaye amesema kuwa  Mtume صلى الله عليه وسلم  kasema: “Katika maneno ambayo watu waliyapata kutoka kwa Mitume wa mwanzo (waliotangulia) ni haya: “Ikiwa huna haya basi fanya utakalo.”
Imesimuliwa na Al-Bukhari