Hadiyth Ya 23 - Kiburi Ni Kanzu Yangu Na Utukufu Ni Joho Langu

   
 
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ هَنَّادٌ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ:  ((قَالَ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ الْكِبْرِيَاءُ رِدَائِي وَالْعَظَمَةُ إِزَارِي فَمَنْ نَازَعَنِي وَاحِدًا مِنْهُمَا قَذَفْتُهُ فِي النَّارِ)) أبو داود, ابن ماجه و أحمد
 
 
Kutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه   ambaye amesema kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Allaah Amesema: Kiburi ni kanzu Yangu na utukufu ni joho Langu, yule ashindanaye na Mimi katika kimoja katika hayo nitamtia motoni)) [Abu Daawuud, Ibn Maajah na Ahmad]